Jamaa mmoja kazoea kwenda na redio chooni ,cku moja akatoka amenuna, mke akamuuliza vipi burudan haikuwa nzuri nini leo? jamaa akajibu studio leo wamepiga wimbo wa TAIFA Nimekunya huku nimesimama kuheshimu wimbo wa TAIFA LANGU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment