Wadau na watanzania ifikie mahala hili tatizo lipatiwe ufumbuzi maana linauma sana kuona wamachinga na mgambo kama madui ebu serikali chukueni tahadhali namapema kwa manufaa ya watu wenu na wapiga kura wenu.
ANGALIA JINSI WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (WAMACHINGA) WANAPONYANYASWA NA MGAMBO
Wadau na watanzania ifikie mahala hili tatizo lipatiwe ufumbuzi maana linauma sana kuona wamachinga na mgambo kama madui ebu serikali chukueni tahadhali namapema kwa manufaa ya watu wenu na wapiga kura wenu.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.