"IMETOKEA HIVI.".............WEWE UMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA NA UMEKATA RUFAA IKASHINDIKANA:
MKEO AMEBAKI URAIANI,UMETUMIKIA KIFUNGO MIAKA 3 KATIKA KIFUNGO ULICHOHUKUMIWA,JUHUDI ZOTE ZA KUTOKA ZIMESHINDIKANA NA UMESHAKATA TAMAA,MARA MKEO AKAJITAHIDI KUTAFUTA NJIA YA AINA ANAYOHIFAHAMU YEYE KUKUTOA NA AKAFANIKIWA,ULIVYORUDI NYUMBANI UKAMKUTA ANA MTOTO WA MIEZI 7,ULIPOULIZA KULIKONI??????? AKAKUJIBU KWA "UPOLE" MUME WANGU KAMA SIO KUTEMBEA NA "WAKILI" UNGEFIA GEREZANI,NILIAMUA KUTEMBEA NA "WAKILI" ILI UTOKE"..!!!!!!!!!
SWALI KWA NDUGU WASOMAJI WANGU
*JE UTAMPENDA ZAIDI MKEO AU UTAMFUKUZA?????
NI VIZURI KUSHARE KWA WASOMAJI WENGINE ILI JIBU LIPATIKANE
Post a Comment