- Waombaji wanashauriwa kuhakiki vyeti vyao vya elimu
- Waombaji wanashauriwa kuwasilisha vyeti vyao vya kuzaliwa kwa ajili ya kuvihakiki kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA).
- Waombaji ambao wazazi wao wamefariki wanashauriwa kuwasilisha vyeti vya vifo kwa ajili ya kuvihakiki kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA).
- Waombaji na wadhamini wao wanakumbushwa kuweka sahihi kwenye ukurasa wa 2 na 5.
- Waombaji wanakumbushwa kuweka sahihi na mihuri ya Serikali za Mitaa na Kamishna wa Kiapo au Wakili.
- Waombaji wanatakiwa kupakia viambatanisho vyote vya muhimu pamoja na kurasa ya 2 na 5.
- Waombaji wanashauriwa kutunza nakala moja ya maombi.
- Waombaji wanatakiwa wazingatie siku ya ukomo wa maombi ambayo ni tarehe 15 Julai 2018.
- To view/complete your loan application, go to My Application link on the left side.
- Kwa kuangalia/kumalizia maombi yako ya mkopo, nenda kwenye My Application.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment