Teknolojia sio poaaa.... Wapo watu wanakataa kwamba simu yako hiyo ya android huwezi ku install window badala yake mtu anakwambia et hiyo itakuwa ni luncher😂😂😂( safiii ).
Basi kwenye post hii tutaangalia ni jinsi gani utaweza kuifanya simu yako kuwa ni window... Hapa utaweza ku install window 10 ×64, window 10 ×86, window 7 pamoja na window XP ( window 8 inazngua) itategemea ipi ni napendeleo yako
> Kitu cha kwanza basi ni lazima ujue uwezo wa simu yako ( nimeshatoa post nyingi sana za kukuwezesha ww kujua uwezo wa simu yako kama hujui ucniulize)
> simu yako inatakiwa at at least iwe na RAM kuanzia 1GB na kuendelea
> hakikisha tayari una application inaitwa #Limbo_pc_emulator_QEMU_ARM_×86 inapatikana play store au kama unaona namna gani vp bofya link hiyo hapo chini....
Baadabya kuwa na hivo vitu hapo juu basi utabofya link hapa chini ku download aina ya window inayohitaji.
#window10_×64... ( 2.81GB)
Baada ya kudownload file la window unalolitaka sasa Sasa utafata hatua zinazofatia hapa chini hakikisha unafata kwa makini kabisa ( vitu vyote unafanya kwa kutumia cm yako sio kompyuta )
Baada ya yote hayo sasa nenda kwenye File manager kisha tafuta file lilioandikwa #Limbo kama lipo acha kwanza.... Rudi kwenye kwenye file la download ambapo utakuta aina ya window ulio downoad.... Baada ya kuikuta window hiyo kumbuka file hilo la window kitakuwa kwenye format ya #IMG.... Sasa unatakiwa u copy file hilo la window kisha nenda kule kwenye file la #Limbo alafu #paste..... Baada ya kupaste sasa nenda kaifungue App ya ko ya Limbo kwenye application zako.
> Kwenye #Load_machine chagua "NEW" kisha andika jina unalotaka
> kwenye #user_interface chagua "SDL"
> kwenye #archtecture chagua "×86"
> kwenye #cpuModel chagua " Qemu32" (muhimu sana)
> kwenye #cpu_cores chagua moja "1"
> kwenye #RAM_memory chagua kutokana na uwezo wa ram ya simu yako.... Kama 1GB basi chagua hvyo hvyo.
> kwenye #storage chagua hard disk A kwa kuweka "√" kisha uchague file lako la window.
> baada hapo scroll mpaka chini kabisa kisha weka "√" kwenye #full_screenalafu pia weka "√" kwenye #landscape kwa chini.
> baada ya hapo rudi tena kwa ku scroll mpaka juu kabisa kisha bofya sehemu imeandikwa #Play
Kuwaka kwa window yako kutategemea na uwezo wa simu yako hvyo kama simu yako haina uwezo kikamilifu basi inaweza kuchukua hata mpaka dakika kumi kuwaka kabisa.
Baada ya kufanya hvyo vyote kwa umakini Utaona window yako inafunguka fresh kabisa na hapo kama simu yako inauwezo wa ku connect na screen kubwa basi unaenjoy kama kompyuta ya kawaida tu tofauti itakuwa kwenye graphics tu.
#Mwisho
Sitaki maswali yasiyo na maana ukiona cjajibu comment yako basi ujue swali lako sina majibu nalo au silijui kabisa alafu vile vile inbox sijibu text yyt washkaji zangu tusameheane... Kama unaswali la msingi tutamalizana kwenye comments tu huku huku.
Sitaki maswali yasiyo na maana ukiona cjajibu comment yako basi ujue swali lako sina majibu nalo au silijui kabisa alafu vile vile inbox sijibu text yyt washkaji zangu tusameheane... Kama unaswali la msingi tutamalizana kwenye comments tu huku huku.
Kumbuka kabla ya kufanya utaona ni kitu kigumu sana alafu utaona vile vile utaona ni process ndefu saana ila wakati wa kufanya utaona ni simple sana na wala maswali ya kipuuzi hayawezi kutokea.
( hili swali watu watauliza sana.... Kwamba baada ya kufanya hvyo simu inaweza kurud kawaida au haiwezi?.... Jibu ni kwamba inaweza )
Share na wana..... Siku njema.
Post a Comment