0
 vodacom premier league


Ligi Kuu Tanzania Bara raundi ya 13 imeendelea leo kwa michezo miwili Ambayo imepigwa kunako viwanja kutimua vumbi ambapo kuna uwanja wa Majimaji Klabu ya wana Lizombe imetoka sare dhidi ya klabu ya Azam FC.


Katika mchezo huo Azam FC walitangulia kwa goli la Joseph Mahundi kabla ya Maji Maji Kusawazisha.
Pia mchozo wa simba na singida united umemalizika kwa simba kuichakaza singida united mabao manne kwa bala huku okwi akitupia magori mawili, kichuya na kwasi gori moja moja na kukamilisha kichapo cha 4-o

 SIMBA VS SINGIDA





Post a Comment

 
Top