0
This photo taken on 29 November 2017 and released on November 30, 2017 by North Korea's official Korean Central News Agency (KCNA) shows launching of the Hwasong-15 missile which is capable of reaching all parts of the US.Haki miliki ya pichaAFP/KCNA
Image captionHwasong -15
Korea Kaskazini imetoa picha za jaribio la kombora lake jipya ambalo inadai kuwa linaweza kushambulia popote pale nchini Marekani.
Picha hizo zinaonyesha kiongozi wa Korea Kaskazini Ki Jong un na maafisa wengine kadha ya ngazi za juu jeshini wakisherehekea kombora la Hwasong-15 wakati likipaa. Lakini kombora hilo ni la aina gani?

Kombora lenyewe ni kubwa.

Wengi wameshangazwa na ukubwa wa kombora hilo. Picha hii ambayo haijulikanai ilichukuliwa lini na iliyotolewa na vyombo vya habari vya taifa inaonyesha Kim akilikagua kombora hilo.
Haki miliki ya pichaREUTERS/KCNA
Image captionKim akikagua Hwasong-15
Michael Duitsman, mtafiti katika kituo kimoja alisema kuwa kombora hilo ni kubwa kuliko kombora la kwanza la Hwasong-14 "ni nchi chache tu zinaweza kuunda kombora kama hilo na Korea Kaskazini imejiunga nazo."
This photo taken on 29 November 2017 and released on 30 November 2017 by North Korea's official Korean Central News Agency (KCNA) shows launching of the Hwasong-15 missile which is capable of reaching all parts of the US.Haki miliki ya pichaAFP/KCNA
Image captionHwasong-15 likipaa
Pia linaonekana kuwa na kichwa kikubwa ikimaanisha kuwa linaweza kubeba bomu nzito la nyuklia kwenye kichwa chake vile Korea Kaskazini inadai.
Yote haya yanaashiria kuwa kombora hilo lina uwezo kwa kusafirisha bomu la nyuklia kwa muda mrefu.
This photo taken on 29 November 2017 and released on 30 November 2017 by North Korea's official Korean Central News Agency (KCNA) shows the Hwansong-15 missile which is capable of reaching all parts of the US.Haki miliki ya pichaAFP/KCNA
Image captionMaandalizi ya kilifanyia majaribio Hwasong-15

Lilisherehekewa kwa sigara

Kim mwenye furaha anaonekana akikunja uso wake wakati kombora hilo linapaa.
Linaaminiwa kuwa kombora la kwanza la Korea Kaskazini lililopaa mbali zaidi katika kilomita 4,475.
Bw Kim na wenzake walionekana kutotupa muda kusherehekea mafanikio ya jaribio hilo kwa sigara.
North Korea's leader Kim Jong Un is seen as the newly developed intercontinental ballistic rocket Hwasong-15's test was successfully launched, in this undated photo released by North Korea's Korean Central News Agency (KCNA) in Pyongyang 30 November 2017.Haki miliki ya pichaREUTERS/KCNA
Image captionKim akisherehekea mafanikio ya jaribio kwa sigara


Post a Comment

 
Top