0


Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi,Monko Justin

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi,Monko Justin kuania rasmi ubunge jimbo la Singida kaskazini.


Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Humphrey Polepole leo Desemba 15, imewataja waliopitishwa kuwa ni Monko Justine Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Dk Stephen Lemomob Kiruswa (Longido).




Amesema CCM kinawatakia wagombea hao maandalizi mema ya uchaguzi chini ya uongozi wa uratibu wa mkoa, wilaya na majimbo husika.

Post a Comment

 
Top