0

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi na Mbunge wa Vunjo James Mbatia, amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi akitibiwa mkono uliovunjika baada ya kuteleza na kuanguka akiwa katika hoteli ya Uhuru alipokwenda kukutana na wadau wa maendeleo.
Msaidizi wa Mbunge huyo, Hamis Athumani amesema tukio lilitokea wakati akiondoka hotelini kurejea nyumbani.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top