WAKULIMA wa korosho Mkoani Lindi wametakiwa kudarajisha korosho zao ili ziweze kupata soko la uhakika , badaa ya kuziondoa korosho ndogo, mbovu na zisizo faa kupelekwa sokoni
UShauri huyo umetolewa na Afisa bodi ya korosho wakati alipokuwa anazungumza na wakulima wa korosho wilaya Ruangwa Kijiji cha Mandawa kwenye Mnada wa korosho uliofanyaka jumapili mwishoni mwa week
kwa upande wake meneja mkuu wa Chama kikuu cha Runali Mohamedi Mway aliwataja wanunuzi 31 walioshiriki MNADA huyo kwa bei ya kwanza 3875 na ya mwisho 3860
Post a Comment