0


Mahafari ya 9 sekondari ya Nicodemus Banduka iliyopo kata ya Mbaya wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.
Licha ya kufanya vizuri kitaaluma lakini shule hii inakabiliwa na baadhi ya changamoto ikiwa uchakavu wa miundombinu shuleni hapo,uhaba wa maji hali inayopelekea wanafunzi wanaokaa hostel kutumia muda mwingi kufuata maji badala ya kutumia muda mwingi kujisomea na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi kama hisabati na chemia kwakuwa shuleni hapo ipo mahabara.

Kuangalia matokeo ya kidato cha nne 2016 kwa shule zote za wilaya ya Liwale bofya >>HAPA

Post a Comment

 
Top