0



Ligi ya alizeti cup ktk kituo cha Liwale mjini
Hatua ya kutafuta timu 3 zitakazoingia 8 bora octoba 5 ilikamili kwa mchezo mmoja wa fainali kati ya mabingwa watetezi Hawili fc Vs Mtimba fc na kumalizika sare ya goli 1-1 baada ilipigwa mikwaju ya penaiti Hawili 3-2 Mitumba fc

Licha ya fainali hiyo timu hizo zilisha fuzu hatua ya 8 bora ikiwa na Kigambo fc katika kituo cha Liwale mjini ambacho kituo hiki kilikuwa na jumla ya timu 9 na zilitakiwa timu 3 na timu 5 kutoka vituo vingine kwnye kanda 5 kila kanda ilikuwa unatoa timu 1 

Ligi ya Alizeti cup linazaminiwa na chama cha ushirika cha Umoja amcos ikiwa na lengo la kuibua vipaji pamoja na kuwahamasisha wakulima kulima zao la Alizeti

Post a Comment

 
Top