
Taarifa zilizotufikia hivi sasa ni kwamba Mtangazaji wa EFM maarufu kwa jina la Denis Rupia maarufu kama Chogo amefariki dunia
Taarifa hizi zimetolewa na Meneja Mkuu wa EFM Denis Sebo jukwaani usiku huu wakati wa Tamasha la Muziki Mnene linalofanyika Mubashara jijini DSM
Hali hiyo imepelekea matangazo hayo ya moja kwa moja kukatishwa
Post a Comment