Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amelaani kitendo cha mwalimu wa shule ya msingi Samanzi iliyopo wilayani Kalambo mkoani Rukwa, kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba.
Soma taarifa hiyo hapa chini
Post a Comment