0

Timu zilizoshinda hatua ya makundi katika kanda 4 kati ya kanda 6 katika kuweza kumpata bingwa wa kila kituo,kila kituo kinatoa bingwa mmoja isipokuwa kituo cha Liwale mjini kitatoa mabingwa 3 au 4 kwakuwa kuna jumla ya timu 9 katika kituo hiki. 

Alizeti cup 2017 ni ligi yenye lengo la kuibua vipaji vya wachezaji pamoja na kuwahamasisha wakulima wilayani hapa kulima zao jipya la biashara la Alizeti na alizeti yote itanunuliwa na chama hicho.

Ligi la Alizeti cup inayodhaminiwa na chama cha ushirika Umoja Amcos kilichopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi 

Post a Comment

 
Top