Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliendelea leo Jumamosi ya September 23, 2017 ambapo Mabingwa watetezi Dar Young Africanwalikuwa wenyeji wa Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Katika mchezo huo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Ibrahim Ajib katika dakika ya 63.
Post a Comment