Mkali kutoka pande za Nigeria Msanii Patoranking Leo September 1, 2017 ameachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Rais Kutoka Usafini WCB, Diamond Platnumz a.k.a Simba. Wimbo unaitwa “Love You Die”.
Wimbo huu unauzwa kupitia SPOTIFY, GOOGLE PLAY, iTUNES pamoja na APPLE MUSIC.
Post a Comment