0
Mbunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania leo Septemba 22, 2017 limeibuka na kutoa maelezo kufuatia kauli aliyotoa Freeman Mbowe kuhusu fedha za wabunge ambazo walichanga kwa ajili ya matibabu ya Tundu Lissu na kusema tayari wametuma fedha hizo



Taarifa iliyotolewa na Bunge imesema kuwa jumla ya fedha milioni 43 zilizochangwa na wabunge zilitumwa moja kwa moja kwenye akaunti ya benki ya Hospitali ya Nairobi toka Septemba 20, 2017. 

Post a Comment

 
Top