Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Mhandisi, Cecil Nkomola Francis (kulia)na Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Mhandisi Peter Ulanga(Kushoto) wakisaini mkataba wa kupeleka mawasiliano vijijini, na kushuhudiwa na Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, katika hafla iliyofanyika ofisi za UCSAF, Kijitonyama, Dar es salaam
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Mhandisi, Cecil Nkomola Francis (kulia)na Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF Mhandisi , Peter Ulanga(Kushoto) wakibadilishana hati za mkataba wa kupeleka mawasiliano vijijini.
Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akitoa hotuba katika hafla ya kusaini mkataba kwa Makampuni ya Simu kupeleka mawasiliano vijijini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Mhandisi Peter Ulanga akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba na makampuni ya simu kupeleka mawasiliano vijijini, katika hafla iliyofanyika ofisi za UCSAF, Kijitonyama, Dar es salaam
Post a Comment