Usiku wa August 21, 2017 waandaji wa michuano ya Ndondo Cup walitoa tuzo mbalimbali kwa washindi wa tuzo binafsi pamoja na zile za vikundi lakini pia zilikuwepo tuzo za heshima.
Tuzo ambazo zilitolewa ni pamoja na shabiki bora, tuzo ya heshima, kikundi bora cha ushangiliaji, mwamuzi bora, mwandishi bora, mpiga picha bora, balozi wa Ndondo Cup, beki bora, kiungo bora, golikipa bora, kocha bora, mfungaji bora na mchezaji bora.
Angalia picha hapa chini ujue kila mshindi aliyefanikiwa kubeba tuzo.
Tuzo ya heshima-Dr. Mwaka
Post a Comment