0

 Mchezaji namba 7 wa timu ya Nyela city akipiga mpira kuelekea lango la timu ya Likongowele fc

 Mchezaji wa timu ya Likongowele fc akichezewa rafu na mchezaji wa Nyela city



Ligi ya Kazumari cup leo augost 4 imeendelea kuchanja mbuga kwa mchezo mmoja kati ya Nyela city dhidi ya Likongowele fc ambapo mchezo huo umemalizika kwa kuibuka Likongowele fc ushindi wa goli 2-1 mchezo uliopigwa uwanja wa wialaya ya Liwale mkoani Lindi.

Magoli ya Likongowele fc yalifungwa na Abasi Lipemba na Togo Mike na goli pekee la Nyela likifungwa na Amidu Uupinde mchezo huo ulivutiwa na watazaji wengi waliokuja kuangalia mpambano huo.

ANGALIA VIDEO YA MCHEZO KATI YA NYELA CITY Vs LIKONGOWELE FC

Post a Comment

 
Top