0
 Mchezaji wa timu ya Mifugo fc akimiriki mpira kwenye mchezo wao dhidi ya watani wao wa jadi lakini habahati haikuwa yao licha ya kutaka kufuta uteja kwenye mchezo huo leo augosti 5 katika ligi ya Kazumari cup.

Mpambano kati ya timu ya Mifugo fc dhidi ya Storaway fc leo augost 5 umemaliza kwa storaway fc kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mchezo uliopigwa uwnja wa wilaya ya Liwale mkoani.

Magoli mawili yote ya Storaway fc yalifungwa na Huseni Mchite na goli la Mifugo fc likifungwa na Lawrance Fusi.

Timu ya Mifugo fc leo ilipanga kutaka kufuta uteja lakini ndoto hizo ziliyeyuka baada ya timu hiyo kulegeza safuu za ukuta wa mabeki wa timu hiyo.





Post a Comment

 
Top