0

 Mwenyekiti wa  ccm  mkoa wa  Lindi  ALLY MTOPA 90 amewataka wanaccm  kujitokeza  kuomba  nafsi  mbalimbali za uongozi wa  chama  ngazi  za wilaya  na  mkoa

Hayo  ameyaeleza  wakati  alipokuwa  anazungumza  na timu  ya  waandishi  wa habari alipokuwa anaeleza  msimamo  wake  wa kuacha  kugombea  nafsi ya uenyekiti  wa ccm  mkoa  wa  Lindi kikao  kilichofanyika ofisi za ccm  mkoa  wa  Lindi

Mtopa alisema  amekitumikia chama  kwa  zaidi ya  miaka 30 kuanzia  ngazi  ya china  mwaka 1936, hivyo amewataka  wanaccm kuwa  wazalendo, waadilifu katika  kukutumikia  chama

Mtopa alisema ameamua  kuacha  ili  kuwaachia  vijana  kufanya  kazi  za  chama
Aidha  Mtopa alisema kuwa katika  kipindi  chake  amekutana  na  changamoto  mbalimbali  ikiwemo kushirikiana  na wanaccm wasiokuwa  waadilifu  waliosababaisha  ccm  kushindwa kwenye  baadhi ya  majimbo
 Mtopa  asema  ataendelea  kuwa  mwanachama  wadilifu 
Ali mtopa  akiwa  na Katibu wa  ccm mkoa wa  Lindi

Post a Comment

 
Top