Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo akizungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali
na vijana (hawapo pichani) kwenye mkutano kuzungumzia masuala mbalimbali
yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa (The Ocean Conference, United
Nations) uliofanyika jijini, New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi
na wadau anuai wa bahari duniani.
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo akisisitiza jambo kwenye mkutano huo na vijana na wanafunzi
kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa
(The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New York Juni
5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari duniani.
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo (mbele) akizungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule
mbalimbali na vijana kwenye mkutano kuzungumzia masuala mbalimbali
yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa (The Ocean Conference, United
Nations) uliofanyika jijini, New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi
na wadau anuai wa bahari duniani.
Sehemu ya maofisa kutoka Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC),
wakiwa katika mkutano huo na wanafunzi kutoka shule mbalimbali na pamoja
na vijana kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa
Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New
York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari
duniani.
Sehemu ya wanafunzi wakiwa kwenye mkutano huo ulioandaliwa na UNIC,
Tanzania kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa
Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New
York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari
duniani.
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo (mbele) akizungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule
mbalimbali na vijana kwenye mkutano kuzungumzia masuala mbalimbali
yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa (The Ocean Conference, United
Nations) uliofanyika jijini, New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi
na wadau anuai wa bahari duniani.
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo (mbele) akizungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule
mbalimbali na vijana kwenye mkutano kuzungumzia masuala mbalimbali
yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa (The Ocean Conference, United
Nations) uliofanyika jijini, New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi
na wadau anuai wa bahari duniani.
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.
Stella Vuzo (mbele) akizungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule
mbalimbali na vijana kwenye mkutano kuzungumzia masuala mbalimbali
yaliojiri katika mkutano wa Kimataifa (The Ocean Conference, United
Nations) uliofanyika jijini, New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi
na wadau anuai wa bahari duniani.
Baadhi ya wanafunzi wakichangia hoja kwenye mkutano huo ulioandaliwa na
UNIC, Tanzania kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano
wa Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini,
New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari

KITUO
cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) leo kimekutana na baadhi ya
wanafunzi kutoka shule mbalimbali na vijana kuzungumzia masuala
mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa Mkubwa wa Kimataifa (The Ocean
Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New York kuanzia Juni
5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa Bahari.
Akizungumza
na wanafunzi na vijana katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam,
Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella
Vuzo aliwataka vijana kuwa mstari wa mbele kwa kutoa elimu na kushiriki
katika jitihada za kuifadhi mazingira ya bahari pamoja na viumbe
waliomo kwa matumizi endelevu.
Alisema kwa mujibu wa majadiliano katika mkutano uliopita, kasi ya
uharibifu wa mazingira ya bahari na viumbe waliomo ni kubwa kiasi
ambacho inatishia baadhi ya viumbe kutoweka kabisa kama si kuadimika
katika vizazi vya baadaye.
Alisema
taka aina ya nailoni ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikitupwa
baharini na kwenye fukwe zinatishia viumbe waliomo baharini na huwenda
zikawa na madhara makubwa kwa binadamu hapo baadaye kama jitihada za
makusudi hazita chukuliwa.
Aliwataka vijana kuwa mabalozi katika kutoa elimu juu ya umuhimu wa
kusafisha fukwe na kufanya uvuvi mzuri kwa wavuvi ili kulinda mazalia ya
samaki na viumbe wengine majini kwa manufaa ya baadaye. Aliongeza kuwa
kuna kila sababu ya kuhifadhi mazingira ya bahari kutokana na umuhimu
wake kwa maisha ya binadamu.
"...Tunapata
chakula kutoka baharini (samaki), tunanufaika kwa shughuli mbalimbali
kama utalii, ajira katika uvuvi na kazi zingine, biashara, usafiri wa
watu na mizigo na shughuli anuai zimekuwa na manufaa makubwa hivyo kuna
kila haja ya kila mmoja kuchangia katika kulinda uharibifu wa bahari na
mazingira yake," alisema Bi. Stella Vuzo na kuwataka vijana kujitolea
mmoja mmoja na katika kusafisha fukwe zetu.
Aidha
katika mkutano wa 'The Ocean Conference, United Nations' takribani
makubaliano ya ahadi 700 zimetolewa kwa nchi mbalimbali washiriki katika
mkutano huo wakiahidi kulinda na kutunza mazingira ya bahari pamoja na
viumbe vyake ili visije kutoweka na kutishia manufaa lukuki yatokanayo
na uwepo wa bahari na mazingira yake.
Aliongeza
kuwa wameamua kuwapa elimu zaidi vijana kwa kuwa asilimia kubwa ya
Watanzania ni vijana hivyo wakiwa na elimu ya kutunza na kuhifadhi fukwe
watakuwa mabalozi wazuri wa mapambano hayo ya kulinda mazingira ya
bahari.
Hata
hivyo, Ofisa huyo wa UNIC aliyakaribisha makundi mbalimbali ya vijana
kutembelea ofisi za UNIC, Tanzania kujua shughuli mbalimbali
wanazozifanya na kuungana katika kampeni anuai zenye manufaa kwa jamii
nzima.
Baadhi ya wanafunzi wakichangia hoja kwenye mkutano huo ulioandaliwa na
UNIC, Tanzania kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano
wa Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini,
New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari
duniani.
Mmoja wa waratibu wa mkutano huo (kushoto), ofisa kutoka Kituo cha
Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), akizungumza jambo na wanafunzi na
vijana walioshiriki mkutano huo.
Baadhi ya wanafunzi wakichangia hoja kwenye mkutano huo ulioandaliwa na
UNIC, Tanzania kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano
wa Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini,
New York Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa bahari
duniani. Picha ya pamoja ya washiriki katika mkutano huo pamoja na baadhi ya maofisa wa UNIC, Tanzania.
Post a Comment