Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Dini na Mashekhe wa Dini ya
Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema
baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na
Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) pampja na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini
ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu
njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,wakiitikia Dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh
Saleh Omar Kabi,(wa pili kushoto),[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) pampja na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
wakiaagana na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya
Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya kutakiana Kheri
katika Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akisalimiana na Mjukuu wake Ali Abdalla Mitawi katika
Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akifanya mahojiano na Watoto Nabil Mohamed Said
na Ahmed Mohamed Said (kushoto) waliofika Ikulu Mjini Unguja kutoka
Shirika la Utangazaji ZBC kwa ajili ya kutayarisha Kipindi cha Watoto
sambamba na Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Baadhi
ya Akinamama na Watoto waliofika katika viwaja vya Ikulu Mjini Unguja
kwa ajili ya kusalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Kupokea Mkono
wa Eid katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada
ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]
26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Juma Kesi (kulia)
alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu
Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya
Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Salum Othman Haji
(kulia) alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya
Ikulu Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea
Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mtoto Othman Khamis (mwenye
ulemavu) alipojumuika na Wazee mbali mbali na Wananchi waliofika katika
viwanja vya Ikulu Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika
kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Post a Comment