Wajane wa wanasoka
watano wa klabu ya Brazil, Chapecoense, walioaga dunia mwaka jana katika
ajali ya ndege Columbia, wameishtaki klabu hiyo.
Wajane hao
wanadai fidia zaidi, wakisema kwamba kiasi walichoahidiwa na klabu hiyo
hakikuzingatia uwezekano wa wanasoka hao kupata pesa zaidi katika malipo
ya ridhaa.
Watu 71 wakiwemo wachezaji 19 wa Chapecoence waliaga dunia wakati wa ajali hiyo.
Post a Comment