Gari lapteza mweleko na kuanguka katika paa la nyumba China
Gari moja
lilipoteza mwelekeo katika mji wa Taizhou uliopo mashariki mwa China
,kuteleza barabarani na kuanguka katika paa la nyumba.
Dereva wake
alisema kuwa alijaribu kuzuia ajali ya ana kwa ana na bahati mbaya
akakanyaga kichapuzi cha gari alipokuwa akibadilisha mwelekeo wa gari
hilo.
Maafisa wa polisi walilazimika kutumia ngazi kumuokoa dereva huyo huku gari hilo aina ya SUV likiondolewa na korongo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.