0


Baadhi ya wafanyabiashara mtaa wa Mwagamwaga katika soko la wilaya ya Liwale mkoani Lindi wameshindwa kufungua baada ya maeneo ya soko kujaa maji na kusababisha wateja kushindwa kuyafikia maduka maeneo hayo.

Halmashauri ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi katika eneo la sokoni (Liwale mjini) inahitajika kupata ufumbuzi wa maji kutoama katika eneo hilo.

 Hili ni eneo la migahawa iliyopo katika soko wilayani Liwale mkoani Lindi mara baada ya kunyesha mvua leo februari 1

Post a Comment

 
Top