Mchezo wa kombe la mfalme la Hispania umepigwa kati ya Atletico Madrid
vs Barcelona ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya mechi ya kwanza, mchezo
wa marudiano utachezwa siku ya jumanne ya wiki ijayo katika uwana wa
Camp Nou. Barcelona imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 1 - 2 dhidi ya
Atletico Madrid. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Suarez goli la kwanza
na Lionel Messi goli la pili. Goli la kufutia machozi la Atletico
Madrid limefungwa na Antonio Grezman.
Suarez ameweza kufunga magoli 11 katika mechi mbali mbali kutokana na mashuti yaliyolenga goli 16. Inaonesha yupo katika kiwango kizuri.
Suarez ameweza kufunga magoli 11 katika mechi mbali mbali kutokana na mashuti yaliyolenga goli 16. Inaonesha yupo katika kiwango kizuri.

Post a Comment