Mkuu wa wilaya ya Liwale,mhe. Sarah Chiwamba
Viongozi wa chama cha ushirika Mahonga wilaya Liwale mkoani
Lindi Imani Mtesa katibu mkuu Isa Mpunja katibu msaidizi ,
Saidi Linda mwenyekiti wa chama na Modester Makota Makamu
mwenyekiti wa chama hicho wanashikiliwa na jeshi la polisi baada
ya agizo la mkuu wa wilaya Sarah Chiwamba kutaka washikiliwe
kwa kosa la kutowalipa wakulima wa korosho zaidi ya 100 wakati
minada yote imelipwa katika chama hicho.
Hatua hiyo imekuja baada ya wakulima wa korosho wa chama hicho kuandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo , kuulalamikia oungozi wa chama hicho kutowalipa fedha zao za korosho msimu 2017/18
Hatua hiyo imekuja baada ya wakulima wa korosho wa chama hicho kuandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo , kuulalamikia oungozi wa chama hicho kutowalipa fedha zao za korosho msimu 2017/18
Post a Comment