Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza
matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo
ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’ >>>FTNA 2016
Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016
Post a Comment