Mwaandishi wetu
MKUU wa mkoa wa Lindi akipokea Hundi ya shilingi milioni 40 kutaka TPDC Kwa ajili ya ujenzi wa vyoo Lindi
Mwaandishi Wetu Lindi
Mkuu wa
mkoa wa Lindi Godfrey
Zambi ameliomba shirika la
maendeleo ya mafuta nchini(TPDC) kuangalia upya utaratibu wa utoaji fidia kwa
wananchi ili ziendane na mradi unaojengwa
mradi ambao maandalizi ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata
gas mkoani .
Godfrey Zambi alitoa ushauri huo wakati wa hafla ya kupokea msaada wa
shilingi milioni 40 kutoka kwa shirika la maendeleo ya mafuta nchini
(TPDC)wenye lengo la kuongeza juhudi za ujenzi wa vyoo katika shule za msingi
mkoani Lindi uku akiomba msaada zaidi katika ujenzi wa miundombinu mingine.
Akikabidhi
msaada huo kaimu mkurugenzi wa shirika hilo Isamail Naleja amesema msaada huo
ni moja ya jitihada zake katika kuunga mkono shunguli za maendeleo ikiwa pia ni
kutaka kuhamasisha jamii juu ya mchango wa shirika hilo ambalo kwasasa mihundo
mbinu yake ipo karibu na jamii.
Shirika la
maendeleo la` la petrol nchini limeanza utafiti wa ujenzi wa kiwanda cha
kuchakata gas mkoani Lindi na linatarajia kukamilisha ujenzi huo ifikapo mwaka
2023
DC Lindi NDEMANGA akipokea hundi kwa mkuu wa mkoa wa Lindi ZAMBI
Mkuu wa mkoa akimkabidhi Hundi Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi hundi ya shilingi milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa vyoooo
mkuu wa mkoa wa Lindi Zambi akizungumza na Tpdc
Post a Comment