
Mpiga
picha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo desemba 22, 2016 katika
Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Taarifa
zinasema Mpoki amefariki dunia mchana huu na alipokelewa taasisi ya MOI
jana usiku baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mwenge ITV.
Mpoki
Bukuku amewahi kufanya kazi kama Mpiga Picha Mkuu katika gazeti la
Mwananchi pia amewahi kufanya kazi magazeti kadhaa likiwemo Majira na
Nipashe.

Post a Comment