November
5 2016 bunge limepitisha rasmi muswada wa huduma za vyombo vya habari
wa mwaka 2016, hapa nimekusogezea video ya Waziri Nape alipokuwa
akizijibu hoja za wabunge ikiwemo zile zilizokuwa zikikosoa muswada huo
kabla ya kupitishwa, tazama hii video hapa chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment