Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mhe. James Karayemaha (kusoto)
ambaye ni Mwenyekiti wa Timu iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan
Rugimbana kwa maelekezo ya Waziri Mkuu kwa lengo la kukusanya
Malalamiko, kero na hoja za wafungwa na Mahabusu kwenye magereza mjini
Dodoma akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Dodoma taarifa ya kazi hiyo mara baada
ya kuikamilisha mapema leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana (wa sita kutoka kulia) akiwa
kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa timu ya kukusanya Malalamiko, kero
na hoja za wafungwa na Mahabusu kwenye magereza mjini Dodoma, aliyoiunda
kwa maelekezo ya Waziri Mkuu wakati timu hiyo ikimkabidhi taarifa ya
kazi hiyo mapema leo.
Post a Comment