Mkuu wa wilaya ya Liwale, Mheshimiwa Sarah Chiwamba akitoa salamu za serikali kwenye baraza la madiwani lililofanyika leo novemba 16 katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri.
Mkuu wa wilaya asisitiza usafi wa mazingira kuwa endelevu huku akiwataka viongozi kushirikiana na wananchi katika zoezi la usafi na kuwasisitiza wananchi kujenga vyoo vya kudumu,asisitiza suala la elimu na kuwachukulia hatua wale wote ambao hawakufanya mtihani wa kidato cha nne,asisitiza wakulima kulima mazao ya chakula,awataka watendaji wa vijiji kuitisha mikutano ya kisheria ili kuweza kuwasomea mapato na matumizi na pia utunzaji wa mazingira akibainisha kuwa katika barabara ya Nachingwea kuna hulibifu mkubwa umetokea wa baadhi ya wananchi kuchoma misitu moto na kusabisha miundo mbinu kuathiri kama vile kuungua kwa nguzo za umeme hivyo amewaomba madiwani kutoa elimu kwa wananchi katika utunzaji wa mazingira.
Diwani wa kata ya Kichonda,mhe. Makwendo H. Abdallah (Cuf) akisoma taarifa ya utekelezaji ya kata kwenye baraza la madiwani Mkuu wa wilaya asisitiza usafi wa mazingira kuwa endelevu huku akiwataka viongozi kushirikiana na wananchi katika zoezi la usafi na kuwasisitiza wananchi kujenga vyoo vya kudumu,asisitiza suala la elimu na kuwachukulia hatua wale wote ambao hawakufanya mtihani wa kidato cha nne,asisitiza wakulima kulima mazao ya chakula,awataka watendaji wa vijiji kuitisha mikutano ya kisheria ili kuweza kuwasomea mapato na matumizi na pia utunzaji wa mazingira akibainisha kuwa katika barabara ya Nachingwea kuna hulibifu mkubwa umetokea wa baadhi ya wananchi kuchoma misitu moto na kusabisha miundo mbinu kuathiri kama vile kuungua kwa nguzo za umeme hivyo amewaomba madiwani kutoa elimu kwa wananchi katika utunzaji wa mazingira.
Diwani wa kata ya Mlembwe,mhe. Hamisi Mshamu Mneke (Cuf) akisoma taarifa ya utekelezaji ya kata kwenye baraza la madiwani na aliyevaa kofia na shati la mikono mirefu ni mbunge wa Jimbo la Liwale akifuatalia kwa karibu taarifa mbalimbali kwenye baraza la madiwani lilofanyika leo novemba 16 katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri.
Mwanzoni mwa picha ni mbunge viti maalum,mhe. Lathifah Hassan Chande akifuatilia taarifa mbalimbali kwenye kitabu cha baraza la madiwani.
Post a Comment