Kwa mara ya kwanza leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam timu ya Simba imefungwa goli 1~0 dhidi ya Africa Lyon katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Bao pekee la African Lyon limefungwa na Msuhi baada ya kumalizia krosi nzuri katika dakika ya 90 ya mchezo na kuwacha njia panda wachezaji wa Simba wasiamini matokeo waliyo yapata.
MATOKEO MENGINE
Prisons 0 vs 1 Yanga
Mbao 2 vs 1 Azam
Ndanda 2 vs 1 Stand United
Kagera Sugar 2 vs 1 Ruvu Shooting
JKT Ruvu 1 vs 1 Toto Africans
Post a Comment