Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya
wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili
kuwapatia mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.
Taarifa ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo 14 siku mbili
pekee kuhakikisha vinatuma majina kwa Bodi ya Mikopo na kuagiza viweke
mfumo mzuri ambao utawawezesha kutuma matokeo kwa
Post a Comment