Taarifa zilizoripotiwa leo Jumanne ya
November 8 2016 kuhusu staa huyo ni kuwa amepata majeruhi wakati wa
mazoezi ya pamoja na wenzake, Sanchez mwenye umri wa miaka 27 alishindwa kuendelea mazoezi baada ya kupata majeruhi.
Sanchez amefanyiwa uchunguzi na wataalam wa afya wa timu ya taifa ya Chile na inasubiria taarifa ya mwisho kama ataweza kucheza mchezo dhidi ya Colombia November 10 2016 au la.
Post a Comment