
Leo November 9, 2016 Marekani imeweka
historia nyingine baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa
mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa
viongozi wa nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe
Magufuli.
Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter...
"Congratulation President-Elect Donald Trump and the People of America. Tanzanians and I assure you of continued friendship and cooperation"-
Dr John Magufuli
Dr John Magufuli
Post a Comment