0
                 Tokeo la picha la Panya buku
Tanzania imezindua maabara kubwa ya aina yake mjini wa Dar-Es-Salaam inayopima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya buku.
Kwa mujibu wa wataalamu wa maabara hiyo, panya mmoja ana uwezo wa kupima sampuli 100 na kutoa majibu ndani ya dakika 20 ikilinganishwa na njia nyingine ambapo majibu ya sampuli hutolewa kwa wastani wiki mbili. Je inawezekanaje?. bbc

Post a Comment

 
Top