Idris anasema kuwa yeye hupata karibu dola tano kwa siku
Idris, raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 21, amekuwa akipaka viatu rangi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Idris anasema kuwa yeye hupata karibu dola tano kwa siku
Huwa anazunguka mitaa ya mji wa Abuja akiwatafuta wateja ambao wangependa viatu vyao kushonwa au kupakwa rangi. Idris anasema kuwa yeye hupata karibu dola tano kwa siku
Idris hana kisomo lakini hajutii hilo. Anasema kuwa
hupata karibu dola 5 kwa siku na kuongeza kuwa kipato chake cha mwezi
mzima ni cha juu kuwaliko cha wafanyakazi wengine wa umma, ambao
mishahara yao ni kati ya dola 125 na 190.
Idris anasema kuwa yeye hupata karibu dola tano kwa siku
Ndoto ya Idris ni kumiliki kiwanda kikubwa cha
kutengeneza rangi ya viatu, lakini kwa sasa ameamua kuwa mpaka viatu
rangi kwenye mitaa ya mji wa Abuja.
Post a Comment