0

Hoteli kilwa
Jioni ya jana novemba 5 Imekuwa ni mbaya kwa wakazi na Wamiliki wa Hoteli mbili zilizopo mjini Kilwa Hoteli ya Kimbilio na Iliyokuwa Kilwa Ruins Baada ya Kuteketea kwa Moto.

Hadi sasa chanzo cha moto huo Hakijaweza kujulikana, Pia kukosekana kwa gari la Zimamoto kulisababisha moto huo kushindwa kudhibitiwa na kuweza kuhamia kwenye Nyumba za Jirani na kufanya Uharibiifu wa nyumba hizo pia.
Hoteli kilwa

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top