MENEJA WA MAMLAKA MAJI SAFI NA TAKA WA NYUMA YA MBUNGE FARIDA KUSHOTO MWENYE SHARTI JEUPE NA MIWANI
MENEJA WA MAMLAKA MAJI SAFI NA TAKA WA NYUMA YA MBUNGE FARIDA KUSHOTO MWENYE SHARTI JEUPE NA MIWANI
Mwandishi wetu
Waziri mkuu
wa Kasimu Majaliwa amesimamisha
kazi mkurugenzi wa mamlaka ya
maji safi na
taka mjini Lindi LUWASA
mhandisi Adamu Alexanda kuanzia
Octoba 19 kwa
kushindwa kusimamia ujenzi
wa kituo cha uzalishaji maji
Ngapa manispaa ya Lindi
Tuhuma nyingine
iliyosimamisha mtendaji huyo
ni matumizi mabaya
ya ofisi na
kumtaka kuachia ofisi
ili kupisha uchunguzi kwa
tuhuma mbalimbali zinazomkabili
Waziri mkuu
alichukua hatua hizo
baada ya kutoridhishwa na
majibu ya mhandisi
huyo wakati alikuwa ana
kagua ujenzi wa
mradi wa maji
uliopo katika mtaa
wa ngapa
Waziri
majaliwa aliiagiza taasisi ya kuzuia na kupambana
rushwa kuchunguza ili kujirizisha
na tuhuma zinazomkabili
mtaalamu huyo
Waziri mkuu
alichukua hatua hizo
baada ya kutoridhishwa na
majibu ya mhandisi
huyo alikwenda kukagua
ujenzi wa mradi
wa maji uliopo
katika mtaa wa
ngapa
Post a Comment