Watu zaidi ya 4000 katika mikesha ya mwenge wa Uhuru wameweza kupima
maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo asilimia 1.7 yamaambukizi
imepatikana kwa mkoa wa Tabora. taarifa hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa
wa Tabora bwn.agrey mwinry wakati akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa mkuu wa
mkoa wa shinyanga Bi.zainab telack kuwa watu 73 sawa na asilimia 1.7
ya maambikizi kwa wqliojitokeza kupima Afya zao ambapo wanaume waliopima
ni 2715 na wanawake 1506. pia amesema kuwa katika mbio hizo za mwenge
wa Uhuru miradi yote ya Maendeleo iliyozinduliwa kwa mkoa wa Tabora ina
zaidi ya bilioni 15 ikiwa mwenge huo umepita katika Wilaya zote za mkoa
wa Tabora .
Akipokea mwenge huo mkuu wa mkoa wa shinyanga Bi.zainabu telack amesema mwenge huo utazindua miradi MBALIMBALI ya Maendeleo ambayo ina zaidi ya thamani ya sh.bilioni 23 hata hivyo mwenge utakimbiza zaidi ya kilomita .1000 ambapo kimkoa mwenge huo umepokelewa katika kijiji cha bukooba kata ya isagehe katika halmashauri ya mji wa Kahama Saa mbili asubuhi.

Post a Comment