Dakika
90 za mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Stand United vs Azam fc
zimemalizika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga. Stand
United "Chama la Wana" wameibuka kidedea kwa kuinyuka Azam Fc bao
1-0...Stand wamejipatia bao hilo kupitia kwa mchezaji Adam Salamba
dakika ya 52.
Post a Comment