Mwili
wa marehemu Edward Sanga (20) mkazi wa kijiji cha Lupalilo Makete
mkoani Njombe baada ya kufariki dunia jana kutokana na kunywa pombe kali
aina ya Valuu pakiti 14
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Wananchi wakiwa wameshikilia moja ya pakiti ya pombe aliyokunywa kijana huyo kabla ya Kufariki dunia
Wananchi wakisaidiana na jeshi la polisi kuukagua mwili wa Marehemu
Mwili wa marehemu Edward Sanga
Polisi wakiwa kazini kufanya mahojiano na ndugu na viongozi wa kata kuhusu tukio hilo
Afisa mtendaji wa kata akitoa matangazo kwa wananchi waliofika eneo la tukio