
Jeshi
la Polisi Tanzania, Kikosi cha Usalama Barabarani (T), Baraza la
Usalama la Taifa Tanzania, kwa pamoja linatoa Shukrani nyingi
kwako/kwenu kwa kujitokeza katika kusaidia Kikosi cha Usalama
Barabarani, kutoa Elimu kwa Waendesha Pikipiki Maarufu kama Bodaboda,
Kupitia Michezo Vijana mbalimbali zaidi ya 6,000 wameweza kupata Elimu
kupitia Mashindano yanayoendela ya Mpinga Cup.
Hata hivyo ukiwa kama Mdau wa Michezo yetu ya Mpinga Cup 2016, tunapenda Kukufahamisha kwamba, Sasa tunaingia mzunguko wa pili baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza.
Tulikuwa na Timu 128 zilizocheza hatua ya kwanza ya
mtoano ambapo baada ya kucheza zimebaki timu 64 ambazo zinaanza
mzunguko wa pili kwa njia ya mtoano.Hata hivyo ukiwa kama Mdau wa Michezo yetu ya Mpinga Cup 2016, tunapenda Kukufahamisha kwamba, Sasa tunaingia mzunguko wa pili baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza.
Kwa
Kuwa Michezo ni Gharama kubwa na Pia Mahitaji ni Mengi, tunakuomba kwa
Moyo wa Uzalendo uweze kujitokeza kwa mara nyingine kuweza kuchangia
baadhi ya Mahitaji ili kuweza kufanikisha Mashindano yetu ambayo
yameanza kwa ubora wa hali ya juu huku yakiwa pia ni mashindano ya
kwanza kuandaliwa kwa kushirikisha timu nyingi kuliko mashindano yoyote
Tanzania.
KUANGALIA RATIBA YA MASHINDANO BOFYA HAPA

Post a Comment