Mkuu
wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakikata
utepe kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme kwa njia
rafiki wa mazingira unaoendeshwa na kampuni ya Engie Afrika wenye uwezo
wa kuzalisha 16KW na kuhudumia zaidi ya kaya 100 katika kijiji cha
Kitumbeine wilayani Longido.
Mkuu
wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa
katika hafla hiyo ya uzinduzi katika kijiji cha Kitumbeine wilayani
Longido.
Mkuu
wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na
viongozi wa serikali wilaya ya Longido na maofisa wa Kampuni ya ENGIE
AFRICA wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi ya waalikwa wakikwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Longido wakiwa katika hafla hiyo.
Post a Comment