Baada
ya kipa wa Stoke kuokoa mashambulio mengi katika kipindi cha kwanza cha
mechi, United ilijiweka kifua mbele baada ya mchezaji wa ziada Anthony Martial kufunga bao la kwanza.
Ilikuwa pigo kubwa kwa Stoke ambayo ilikuwa haijafanya shambulio lolote katika ngome ya United.
Lakini baada ya Jon Walters kupiga krosi, Allen alifika na kusawazisha hivyo basi kuifunga midomo ya mashabiki wa United ambao walikuwa wakiimba katika kipindi chote cha mchuano huo.
Lakini baada ya Jon Walters kupiga krosi, Allen alifika na kusawazisha hivyo basi kuifunga midomo ya mashabiki wa United ambao walikuwa wakiimba katika kipindi chote cha mchuano huo.
Stoke
City ambayo iko katika nafasi ya pili kutoka mwisho sasa imejiongezea
matumaini ya kuondoka katika eneo la mkia la ligi hiyo ya Uingereza.
VIKOSI: MAN UTD (4-2-3-1):
De Gea, Valencia, Smalling, Bailly, Blind, Herrera (Depay 83), Pogba,
Lingard (Martial 67), Mata 7 (Rooney 67), Rashford, Ibrahimovic.
AKIBA WASIOTUMIKA: Carrick, Romero, Fellaini, Darmian
STOKE CITY (4-2-3-1): Grant, Johnson, Shawcross, Martins Indi, Pieters, Cameron, Whelan, Shaqiri (Bardsley 90), Allen, Arnautovic (Walters 77), Bony (Crouch 77)

Post a Comment